Monday, June 2, 2008

Bombeso on the Stage

Nadhani Bombeso wanafahamika fika, yaani kama huwajui basi umeshawahi kuwaona kwenye video za wasanii kibao kama Renee Lamira, Banana (Mama Kumbena), pia wameshafanya show na wasanii kibao ndani na nje ya nchi na kushiriki kwenye promosheni kibao Tanzania nzima. kundi hili lenye maskani yake Kinondoni lilifanya show ya nguvu siku ya tamasha la Bconnected pale Mnazi Mmoja. pia walitumbuiza na Ray C na kufanya show iwe bomba kinoma.
Bombeso ladies, shakin' it!


Rommy & Diamond

Ni vijana wado ukiwaona huwezi kudhani, but wanafanya katika level nyingene, wanagonga crank za kufa mtu, ebwana dah!! wana track zao kibao ukizisikiliza uta-salute. wana track iitwayo "TOKA MWANZO" wamemshirikisha Fatma pamoja na video yae ambazo zimeshapata airtime ya kutosha katika radio & tv stations,inabamba kinoma, Track zao nyingine ni "G-search" au jisachi kibongo.. ambayo imewapa collabo masupasta kibao kama Ngwair, Geez Mabovu na wengine kibao.Track yao nyingine inatwa "WHAT'S MY NAME?"ambayo ni moto wa kuotea, yaani ka Lil Wyne kaja TZ... BONGO KUNA VIPAJI BWAANA!!
DIAMOND . tulipoenda EATV CHANNEL 5 kwa ajili ya air time ndani ya FRIDAY NIGHT LIVE
DIAMOND AND ROMMY

Bongo bwana! Sasa sijui tukale wapi!!!


Monday, May 12, 2008

MNAZI MMOJA PATAKUWA HAPATOSHI!!!!

NIMEIDESIGN MWENYEWE HIYO
NI JUMAMOSI HII TAR 17 MEI 2008 PALE MNAZI MMOJA

INAKUJA!!!!!

That is my hand and my eyeball, I designed the artwork.

Friday, March 28, 2008

ALUTA CONTINUA Prof jize!! nandi ya Daimond Jubilee

He started music in early 90’s popularly known as “Nigga J” and many others, now he is widely known as Professor Jay or some people including me like to call him Prof Jize.
Prof Jize whose real name is Joseph Haule was born in Dar-es-salaam on 29 December 1975, he is the sixth among the nine children of the family of Mrs Leonard Steven Haule and Rose Majanjara

No doubt Prof jize has contributed a great deal in revolutionalizing the music industry in Tanzania especially hiphop which was not appreciated by the society for quiet long time especialy in the 80’s and early 90’s.

I’m sure you will agree with me that apart from MR II a.k.a SUGU whose real name is Joseph Mbilinyi, Prof Jize who until now has been awarded not less than 25 Music awards in just 15 years he has spent in the game has influenced a lot of change in people’s perception towards Hiphop music, before he release the first album which was named “CHEMSHA BONGO” meaning brainstorm with his group named HARDBLASTERS, hiphop music was not valued by the society, as many adults strongly believed that hiphop music was all about copying and imitating the western culture, using drugs and bad languages, I asure you it was not easy for a Tanzanian hiphop artist to even sell a single copy of his album, people used to prefer local African music and some preferred pop music, by that time when Michael Jackson was up and top as the king of pop. Thus it was such a big challenge for HipHop artists to depend their lives until when Prof Jize with his group Hardblasters released their hit song “CHEMSHA BONGO” which carried the name of the album with such an outstanding message in it. The song captured the hearts and minds of every Tanzanian who listened to it, it really rocked the Tanzanian airwaves. People started loving and believing in hiphop music like never before and that hiphop could play a crucial role in entertanining and educating as well.

Until the end of 90 there was and increase in the number of artists, artists could then sell their work dispite the return being not enough and pleasing, today artist can depend their life in music because Tanzanians have positive perception towards hiphop music. No doubt Prof Jize is an activist and a revolutionary, his contribution towards the Tanzanian hiphop music will always be remembered and honoured.
Prof Jize will be launching his 4th album on Friday 04 April 2008 as a solo artist since 2001, the album goes by the name “ALUTA CONTINUA”, and he is launching it signifying that the battle in availing the true meaning of hip-hop countinues, his hit single named “hapo vipi? Hapo sawa? which is included in this new album, Still rocks the charts on Tv and radio stations all over Tanzania.
The album “ALUTA CONTINUA” has been recorded and produced at Bongo Records, Mandugu Digital, MJ Production, Ketekul, Wow Pow Records & No End.
His previoulsly released albums include;
1. Machozi,Jasho na Damu (Tears, sweat and blood) - 2001
2. Mapinduzi halisi (Real revolution) - 2003
2. J.O.S.E.P.H - 2006
Usikose kuhudhuria uzinduzi wake siku ya ijumaa tarehe 04/ 04/2007 pale DIAMOND JUBILEE kwa kiingilio cha Ths 7000 tu

Nakaaya's "NERVOUS CONDITIONS" the album


Such a tall, Charming and light coloured girl, born in Arusha Tanzania and raised in Kenya and Tanzania, is none other but Nakaaya Sumari. With her outstanding mesmerizing voice that embodies day to day agony, vanity and internal struggles within oneself that we all come across with, represents “a true reflection of a modern East African woman”. Nakaaya emerged in the East African music industry in the year 2006 when she was a featured star of East Africa’s first reality Tv show called “Tusker Project Fame”, and now she is dominating the East African air waves with her hit single “Mr Politician” with it’s video being one of the most popular music videos in East Africa

Nakaaya started loving Music when she was young girl singing in a school choirs, and with no doubt you will agree with me that this Tanzanian girl is talented and blessed with her undeniable exciting voice and she is using it effectively in fighting for dignity of a true African woman.

The Album “Nervous Conditions” was recorded in Dar es salaam, Tanzania by Mandugu digital’s super producer Ambrose Akwabi in Dar es salaam, it contains about 11 songs which carry zeal, pride, courage and compassion with it has been crafted for almost a year, I guarantee you that the album is a hit.

Thursday, March 13, 2008

IMETOKEA HAPA AFRIKASANA!!!!


ilikuwa ni asubuhi tu, ile mida ya kuelekea ofisini au kibaruani kutafuta chochote mara yakatokea haya hapa Sinza afrikasana, mwenye pikipiki hiyo alikuwa amerushwa hadi nyuma ya SUZUKI iliyomgonga.
"Alhamdulilah mshkaji akanyanyuka mziiima" mara wabongo tukaanza kujaa kama kawaida.
Kwa bahati nzuri hakuna aliyefariki wala kuumia vibaya...anyway tuwe waanaglifu na kumuomba Mungu ili atulinde na kuongeza siku za maisha yetu hapa duniani!...Amen!

BCONNECTED FESTIVAL 2008

Music Mayday Tanzania kwa mara ya 5 inakuletea tamasha la BCONNECTED litakalofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es salaam,Jumamosi tarehe 17 May 2008 kuanzia saa 8:00 mchana hadi saa 5:00 usiku. Wasanii kutoka ndani na nje ya nchi watatumbuiza...........for more information keep on visiting my blog!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Friday, November 30, 2007

BBC Talent Search Bongo!!!

Siku chache zilizopita BBC walikuwa wakisaka vipaji vipya katika fani ya muziki ikiwa ni moja ya tukio la kusherehekea maadhimisho ya BBC kutimiza miaka 75 toka kuanzaishwa kwake. BBC ilikuwa ikisaka vipaji duniani kote na hapa ni wakati BBC ilipokuwa ikiafuta vipaji Bongo.
Mchizi Baraka "Tha Don" huyu alikuwepo pia,jamaa ni moja kati ya wasanii niliowahi kufanya nao production za gheto



Kutoka kulia ni mimi, then Karin (BBC representative), na Chris (Kiss FM radio presenter)